Saidia
kwa Moyo
Foundation
Kenya

Saidia kwa moyo-
chama kianzilishi
Kiini sawa na jina “saidia
kwa moyo” muuguzi mstaafu bi Petra Müller pamoja na mumewe Helmut kutoka
Königslutter ujerumani walielekea kilifi Kenya kuanzisha shirika la kusaidia
watoto.familia ya Müller wamekuwa wakisafiri kwa miaka mingi nchini kenya ndipo
walipotokoe msumarini-kikambala,mwaka 2003 walipokutanana mayatima walio poteza
wazazi wao kwa mkasa wa bomu wa kikamabala uliotekelezwa na wanamgambo wa
kigaidi.bi Petra Müller aliamuakujihusisha yeye binafsi kujaribu kutataua
matatizo ya hawa mayatima yeye pamoja na mumewe mwanzoni waliaanza kwa
kuwanunulia mavazi ,chakula ,na matresi za kulalia,lakini waligundua kuwa hii
haikuwa suluhihisho pekee na hawakuweza kutimiza mahitaji yote ya hawa
mayatima,walikuwa mekusudia kuwasaidia zaidi.
Baada ya kurudi kutoka kenya walianzisha shirika ambalo la
kusaidia saidia-kwa-moyo kinderhilfsprojekt-kenya e.V mtazamo ama nia yao kuu
ilikuwa ni yakuwapa nyumba,elimu,na kuwa na mtazamo wa kimbele wa maisha .
Misaada ya saidia Kwa moyo Ina enda wapi ama
Ina tumika vipi
Wakati
jamii ya Muller ilipo rudi Kenya tena mwaka wa 2004 walikodisha nyumba kilifi
kilo mita 50 kutoka kaskazini mwa jiji
la Mombasa,nyumba hiyo waliifanyia marekebisho na waka weka vitandana fanicha waliotengeneza na mapeni yao wenyewe,wakatengeneza jiko na
mahali pa maamkuli nje ya nyumba hiyo pamoja na jiko iliyokuwa na benchi na meza ndani.
Hii ndiyo ilikuwa kitangulizi chao cha kwanza Kwa sasa mengi yamefanyika
§ Watoto 28
sasa wanamakazi sasa
§ Watoto waliohitimu
miaka ya kwenda shule wote wako shule
§ Watoto wote
wanapata huduma za afya mara Kwa mara
§ Wafanyi
kazi 6 waliohitimu wanawatunza watoto
§
Na shirika
hili pia lime weza kuanzisha miradi ya kupata pesa za kuwezeshakujenga ujenzi
mpya Na chuo cha mafunzo ya ziada
Saidia Kwa moyo-jinsi ya kusaidia
Kuwa mfadhili wa mtoto
Una weza
kuchangia mara Kwa mara Kwa kufadhili mtoto mmoja Kwa njia ya ki afya na elimu
Ufadhili moja Kwa moja
Tuna karibisha ufadhili wa namna yoyote
Uwanachama
Ukiwa mwana chama inamaanisha kuwa ina wafadhili watoto wote
kilifi
Mwanachama –tunu
Sikuwa tu utakuwa ukifadhili kwa kutoa machango kila mwezi
lakini utaweza kuwa na uhusiano wa kijamii ama rafiki
Urithi
Yeyote anatakakutimiza ndoto ya kusaidia hata baada ya kifo
ana weza kufanya hivyo kwa kuandika katika karatasi yake ya urithi.
Kila
mchango unawafaidia watoto kwa 100%

Mipango ya usoni ya saidia kwa moyo
Ploti ya
hekari moja imenunuliwa, Na zaidi ya kujenga nyumba mpya ya watoto, vyuo vya kiufundi
vitaanzishwa
§
Kwa mfano,
§
Useremala
§
Fundi
cherehani
§
Na mafunzo
ya kisasa ya kiteknolojia, Na kadhalika
Msaada wa kujitegemea
Kwa sababu
ya barabara kuu ya kwenda ufuoni mwa bahari ama hoteli kubwa za kilifi ina pita
mbele ya mad huu, bi Petra na Helmut Muller wataanzisha mradi wa duka kubwa la
reja reja ambalo vyote vitakavyo use ndani yake vitawafaa wa kaazi wa kilifi
pamoja na watalii wanaozuru eneyo la kilifi.kwa kufanya hivyo, bi Muller anaona
kuwa ataweza kuwafanya watoto hawa waweze kujitegemea usoni na ndoto yake ya
kusaidia kwa moyo itakuwa imekamilika pamoja na misaada ya watu wote kwa jumla
Saidia-kwa Moyo
Bibimalakaika’s
Kinderhilfsprojekt Kenya e.V.

Kimesajiliwa katika district court helmsted
chini ya VR 864
Kimesajiliwa tena na shirika lisilo la serikali
Kenya
yaani N.G.O op 218/051/2007/067/4556
Mwanzilishi na mwenye kiti mkuu
- Helmut, Petra Mueller
- Am Rischbleek 54
- 38154
Koenigslutter
- e-mail:
saidiakwamoyo1@yahoo.de
Organisation and Public
Relations:
- Horst
Brueck
-
Donation Account:
Germany:
- Saidia
kwa Moyo e.V.
- Bank:
Nord/LB
- Konto:
70 37 37 7
- BLZ:
250 500 00
- BIC: NOLADE2HXXX
- IBAN: DE63 2505 0000 0007 0373 77
-
Kenya:
- Saidia
kwa Moyo Foundation
- Bank:
IMPERIAL
- Account:
7900001296
- Swift:
IMPLKENAXXX
-
---> Membership
---> Godparenthood
for a child
|